Jorafra Transport Agency Ltd inatangaza nafasi za kazi za uwakala wa usajili wa leseni za LATRA kwa bajaj na pikipiki katika mkoa wa Mwanza.

Sifa za Mwombaji

  • Awe Mtanzania
  • Awe na smartphone
  • Umri kati ya miaka 18–30
  • Ajue kutumia Intaneti
  • Awe mwadilifu na mwenye uaminifu

Jinsi ya Kutuma Maombi

Tuma maombi yako pamoja na taarifa binafsi kupitia:

  • WhatsApp: 0789 537 307
  • Barua pepe: jorafratransport@protonmail.com

Mwisho wa kupokea maombi kwa awamu ya kwanza ni tarehe 20.03.2026.

Tahadhari

⚠️ Usitoe pesa kwa mtu yeyote ili kufanikishiwa kupata nafasi hii.

Kwa Maelekezo Zaidi

Piga simu: 0738 499 978

  • Wote mnakaribishwa kuomba.