Jorafra Transport Agency Ltd inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wazalendo, wote wenye sifa na wali tayari kujituma katika nafasi mbalimbali kulingana na mahitaji ya kampuni.

Maelezo kamili kuhusu sifa zinazohitajika, vigezo, na jinsi ya kutuma maombi yote yamefafanuliwa kwenye fomu au tangazo lililoambatishwa (attached file).

Jinsi ya Kuomba:

  1. Pakua na ufuate maelezo yote yaliyopo kwenye faili lililoambatishwa (bofya hapa).
  2. Hakikisha umekidhi vigezo vyote kabla ya kutuma maombi yako.
  3. Tuma maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho iliyowekwa.


Kumbuka: Maombi yote yatumwe kulingana na maelekezo sahihi yaliyotolewa kwenye tangazo hilo.


Karibuni mjenge hatari na mafanikio yenu pamoja nasi!